r/Kenya
•
u/iamjatelo
•
14h ago
Casual The Strathmore baddie actually came to Kangemi (part 2)
After days of giving her excuses, she finally told me, “Stop overthinking, I’m coming to see you this weekend.” Msee, hapo ndio panic ilianza. Niliosha nyumba, nikasafisha kila corner, nikatupa garbage, changed bedsheets, nikapanga keja hadi bedsitter ikaanza kuonekana kama Airbnb ya budget. Nikaenda butcher, nikachukua nyama na tu fruits hapo kwa Soko, nikapika, juu nilitaka at least ajue kuna mwenye anaweza survive Kangemi na bado akapika nyama proper, kwa upishi sijai angusha coz nakuaga part time chef habana chesa.
She came with an Uber. Nilikuwa nje nikimwatch akishuka, and honestly, nilikuwa na butterflies kuliko siku yangu ya kwanza interview. But the moment aliingia, she was so comfortable. Hakuna weird faces, hakuna kuuliza maswali za kunifanya nijisikie inferior.
Alileta some goodies, tukafungua drinks, tukakula nyama, tukacheka na kuongea mpaka nikasahau nilikuwa nime-spend siku kadhaa nikistress kuhusu vile ataona keja yangu. Huyu dem alikuwa anafeel tu vibe yangu. At some point tulianza kuwatch movie, lakini movie ikawa background noise juu story zilikuwa mob.
She ended up sleeping over and whatever happened happened, si mnajua tu katiba lazima isomwe. Alafu this morning bado tulikuwa pamoja before she eventually left hapo around 3. Sasa kitu ilinishangaza ni vile before aende, tulikuwa tunapanga vile tutakuwa tunaifanya movie night kila Friday ama weekend nikiwa free, juu anajua mimi ni msee wa hustle ya daily na siwezi promise kila time nitakuwa available. Naeza sema kesho niko free alafu foreman apige simu eti lorry ya simiti imefika niingie site.
Na akasema ako sawa na hiyo, bora tupate time yetu tukue na moments zetu. Msee, huyu dem alipenda vile naishi, hakunifanya nijisikie kama niko behind in life, na hakukuwa na pressure ya kupretend niko na soft life. For once, nilikuwa na mtu mwenye aliona beyond Kangemi dust, bedsitter na daily hustle. Na funny enough, nilikuwa nimeogopa kumshow reality yangu, kumbe reality yenye nilikuwa naona kama weakness ndio hakukuwa issue kwake. Nawaombea mpate wapenzi pia nyinyi bana 😂